Mhe. David Malole akiongozana na Mwamuzi Ndg. Kufasimwiko
ili kuweza kukagua timu ya Kombora S.C ya Hombolo na Mkuyuni F.C
Katika mechi hiyo ya uzinduzi Kombora waliibuka kidede kwa bao 1-0.
Ngongoti akitoa burudani kabla ya mgeni rasmi kuwasili
Mgeni rasmi akiikagua timu ya Kombora S.C
Mgeni rasmi akiikagua timu ya Mkuyuni F.C From L-The coordinator of this Youth Program Mr. Joseph Chikaka,
The Guest Of Honor Hon. David Malole the Member of the Parliament
for Dodoma Municipal Constituency, WEO Mr. Lister Sakalani
Our theme; 'Changing Thinking, Change Life'
No comments:
Post a Comment