Sunday, September 16, 2012

EITF's VISION AND MISSION



EDUCATION IMPROVEMENT TRUST FUND
(EITF)




DIRA (vision)
Kuwa na jamii ambayo makundi maalum wanatumia ubunifu, fursa na uwezo wao katika upatikanaji wa haki na huduma bora za jamii kwa maendeleo endelevu.


VISION
Our vision is of Tanzania where disadvantaged people are innovatively empowered to acquire the opportunities with the knowledge and skills necessary to generate an active and effective sustainable development.







DHIMA (mission)
EITF inadhamiria kuinua kiwango cha maisha ya makundi yaliyopembezoni katika Tanzania kwa kusaidia upatikanaji huduma za elimu bora, afya ya msingi, utawala bora na uwajibikaji, uboreshaji mazingira, teknolojia na mawasiliano, kuondoa umaskini kupitia mbinu mbali mbali za uwezeshaji jamii.

MISSION
EITF envisages to improve quality of life and wellbeing of citizens in Tanzania through supporting disadvantaged groups with provision of quality education, primary health care, civic education, cultural and environmental conservation, information and technology and poverty eradication.